OMADA LEARNING HUB

Jifunze Kuuza WiFi Hatua kwa Hatua

Karibu kwenye sehemu ya mafunzo. Pata mada za MikroTik hotspot, TP-Link Omada, vocha, portal na uendeshaji wa biashara. Video links zilizo hapa zinafungua matokeo ya utafutaji wa YouTube kwa mada husika, si video rasmi zilizochapishwa na Omada.

▶

Chagua somo unalotaka kujifunza

Viungo vinafungua utafutaji wa YouTube. Sehemu hii imeandaliwa pia kuongeza video rasmi za Omada baadaye bila kubadilisha muundo wa ukurasa.

FUATA MWONGOZO

Makala za kuanza nazo

Video zinakusaidia kuona hatua; makala zinaeleza sababu za kila uamuzi.

CHUKUA HATUA INAYOFUATA

Umejifunza hatua za kwanza?

Fungua dashboard ya Omada WiFi Billing, kisha chagua vifaa na vifurushi unavyotaka kuanza navyo.